KUPATA UJAUZITO
Kila unachohitaji kufahamu kuhusu kutafuta na kupata ujauzito

Vidokezo vya Urembo Kipindi cha Ujauzito
Ni vipi nitaonekana mrembo kipindi cha ujauzito ni swali wanalokuja nalo wakina mama wengi. Kuna njia kumi sahihi za kukusaidia…
Makala Maarufu
Ninawezaje Kuongeza Nafasi ya Kupata Mtoto wa Kike au Kiume?
Changamoto za Kupata Ujauzito kwa Wanawake Wenye Umri Zaidi ya Miaka 35
Vitu vya Kufanya Katika Maisha Yako Kabla ya Kujaribu Kupata Ujauzito
Vipimo na Tafiti Muhimu Kufanya Kabla ya Kupata Ujauzito
Vidokezo 9 Kukusaidia Kupata Ujauzito kwa Haraka
Makala Nyinginezo

Maambukizi ya Njia ya Mkojo (UTI) Wakati wa Ujauzito
UTI ni kifupi cha urinary tract infection au kwa lugha rahisi maambukizi katika njia ya mkojo, ambayo inajumuisha figo, ureta…

Kipimo cha Ultrasound Kipindi cha Ujauzito
Kipimo cha Ultrasound ni Nini? Kipimo cha ultrasound ni uchunguzi unaotolewa kwa wajawazito wengi kabla ya kujifungua. Kinatumia mawimbi ya…
Begi la Hospitali Unapokwenda Kujifungua
Nini cha kufungasha kwenye begi la hospitali? Sasa ni wakati wa kukusanya vitu muhimu utakavyohitaji wakati wa uchungu na kujifungua…
Testimonials / Shuhuda
“Mwaka juzi nilikuwa nimekata tamaa kabisa ya kupata ujauzito, nilipoanza kutafuta msaada mtandaoni nilikutana na makala yenu inayohusu mzunguko na siku za kutungwa mimba, niliisoma kwa makini na kufuatilia ushauri wake, miezi sita baadae nilishika mimba bila hata kutegemea, Asanteni sana.”
Janet Mwangi,
Msomaji
“Kiuhalisia mmenisaidia sana, nilipambana wee na mimba zilikuwa zinatoka mara kwa mara, ila msaada wenu kwenye mambo ya kufanya kabla hata ya kushika ujauzito yalinisaidia, pia App ya AfyaTrack imenisaidia tangu nilipokuwa na ujauzito mpaka sasa mtoto wangu ana miezi mitatu bado naitumia ”
Winnifred J,
Mtumiaji
“Mambo mengi mliyoyaandika kwenye makala zenu ni ya msaada mkubwa sana, niliposoma nilimtumia rafiki yangu aliyekuwa anahangaika na maumivu kila wakati wa hedhi zake na alikuwa anaogopa sana kushika mimba, labda mnaweza mkaandika pia kuhusu maumivu kipindi cha hedhi na sababu zake na matibabu yake tafadhali ”
Mwanaisha_98,
Msomaji