Mtandao #1 kwa Afya ya Mama na Mtoto

Address:

P. O. Box 38995, Dar es Salaam, Tanzania

Hatua za Ukuaji: Mtoto wa Miaka 2 na Miezi 2

Hatua mwanao alizofuzu (watoto wengi wanazifikia)

  • Anajua na anatumia angalau maneno 50 rahisi

Hatua za ukuaji zinazojitokeza (nusu ya watoto wanazifikia)

  • Anaweza kupiga mpira
  • Anarusha mpira kwa mikono yake bila kuanguka

Hatua za mapema kabla ya wengine (watoto wachache wanazifikia)

  • Kuongea na kueleweka wakati mwingi.
  • Kuchora mstari kwa ulalo au kusimama.
  • Kutumia mkasi.