Mtandao #1 kwa Afya ya Mama na Mtoto

Address:

P. O. Box 38995, Dar es Salaam, Tanzania

Hatua za Ukuaji: Mtoto wa Miaka 2 na Miezi 4

Hatua mwanao alizofuzu (watoto wengi wanazifikia)

  • Anaweza kuongea na kueleweka mara nyingi.
  • Anaweza kuvaa nguo.
  • Anavutiwa na rangi na maumbo ya vitu.

Hatua za ukuaji zinazojitokeza (nusu ya watoto wanazifikia)

  • Ataanza kusimama na miguu yote
  • Ataweza kuruka mbele na miguu yote

Hatua za mapema kabla ya wengine (watoto wachache wanazifikia)

  • Anacheza mchezo wa kuigiza
  • Anachora mistari iliyonyooka
  • Kusimama na mguu mmoja
  • Kuimba nyimbo za watoto alizosikia katika simu yako au kipindi cha watoto.