Mtandao #1 kwa Afya ya Mama na Mtoto

Address:

P. O. Box 38995, Dar es Salaam, Tanzania

Hatua za Ukuaji: Mtoto wa Miaka 2 na Miezi 5

Hatua mwanao alizofuzu (watoto wengi wanazifikia)

  • Anapiga mswaki kwa msaada wako.
  • Anaweza kutaja majina ya rangi chache.
  • Anaweza kunawa mikono yake.
  • Anaweza kutaja majina ya sehemu za mwili wake kama macho,masikio.


Hatua za ukuaji zinazojitokeza (nusu ya watoto wanazifikia)

  • Anamtambua rafiki yake mmoja kwa jina.
  • Anaweza kusimama na mguu mmoja.
  • Anapenda kucheza na rafiki zake.


Hatua za mapema kabla ya wengine (watoto wachache wanazifikia)

  • Kuota magego ya pili
  • Kuvaa moja ya nguo yake mwenyewe