Mtandao #1 kwa Afya ya Mama na Mtoto

Address:

P. O. Box 38995, Dar es Salaam, Tanzania

Hatua za Ukuaji: Mtoto wa Miezi 11

 Hatua mwanao alizofuzu (watoto wengi wanazifikia)

 • Kusema mama na baba kwa mtu husika.
 • Kusimama mwenyewe sekunde chache.
 • Kunyooshea vidole vitu.

Hatua za ukuaji zinazojitokeza (nusu ya watoto wanazifikia)

 • Wanaiga kazi za wengine.
 • Ataanza kuogopa kuachwa hasa wakati ukiwa unatoka na kumuacha.
 • Kutambaa kwenye ngazi akisimamiwa na mtu.
 • Kuelewa maelekezo rahisi.
 • Mtoto anasaidia kurudisha midoli kwenye boksi au mahali inapokaaga.

Hatua za mapema kabla ya wengine (watoto wachache wanazifikia)

 • Kuanza kupiga hatua chache.
 • Kutumia kikombe kunywa kitu.
 • Anaelewa kudumu kwa kitu.
 • Atatoa sauti inayobadilika milio