Mtandao #1 kwa Afya ya Mama na Mtoto

Address:

P. O. Box 38995, Dar es Salaam, Tanzania

Hatua za Ukuaji: Mtoto wa Mwaka 1 na Miezi 11

Hatua mwanao alizofuzu (watoto wengi wanazifikia)

  • Anaweza kutumia maneno 50.
  • Anaweza kutaja majina ya picha anazoziona kwenye kitabu.

Hatua za ukuaji zinazojitokeza (nusu ya watoto wanazifikia)

  • Anaweza kuongea sentensi mbili au tatu.
  • Anaweza kuimba nyimbo rahisi anazosikia.
  • Anaendelea kucheza na watoto wengine.

Hatua za mapema kabla ya wengine (watoto wachache wanazifikia)

  • Ataweza kushuka ngazi.
  • Kujielezea mfano nini anapenda na nini hapendi.
  • Atauliza maswali sana?