Mtandao #1 kwa Afya ya Mama na Mtoto

Address:

P. O. Box 38995, Dar es Salaam, Tanzania

Hatua za Ukuaji: Mtoto wa Mwaka 1 na Miezi 5

Hatua mwanao alizofuzu (watoto wengi wanazifikia)

  • Anatumia maneno kamilifu
  • Anafurahia kucheza michezo ya kuigiza, mfano kukuiga wewe mama yake
  • Anapenda kuendesha midoli

Hatua za ukuaji zinazojitokeza (nusu ya watoto wanazifikia)

  • Kuitikia maelekezo kama kaa chini.
  • Kulisha midoli yake.
  • Kuongea vizuri zaidi na kueleweka.

Hatua za mapema kabla ya wengine (watoto wachache wanazifikia)

  • Atacheza mziki
  • Atapanga midoli yake kulingana na rangi,umbo au ukubwa
  • Atapiga mpira mbele.