Mtandao #1 kwa Afya ya Mama na Mtoto

Address:

P. O. Box 38995, Dar es Salaam, Tanzania

Hatua za Ukuaji: Mtoto wa Mwaka 1 na Miezi 6

Hatua mwanao alizofuzu (watoto wengi wanazifikia)

  • Anaweza kushika kalamu vizuri na kuchora-chora kwenye karatasi
  • Anaweza kuzungusha mnyororo wa baiskeli kwa miguu yake unapomuweka juu ya baiskeli.

Hatua za ukuaji zinazojitokeza (nusu ya watoto wanazifikia)

  • Ataweza kusugua meno ukimpa msaada kidogo
  • Ataunganisha maneno vizuri

Hatua za mapema kabla ya wengine (watoto wachache wanazifikia)

  • Kurusha mpira juu ya kichwa chake
  • Atuchukua midoli sehemu ulipohifadhi na kuirudisha baada ya kumaliza kucheza.
  • Ataonyesha dalili ya kuwa tayari kufundishwa kujisaidia