Mtandao #1 kwa Afya ya Mama na Mtoto

Address:

P. O. Box 38995, Dar es Salaam, Tanzania

Hatua za Ukuaji: Mtoto wa Mwaka 1 na Miezi 9

Hatua mwanao alizofuzu (watoto wengi wanazifikia)

  • Anaweza kupanda ngazi.
  • Anapenda kusaidia kazi nyumbani.
  • Anajiwekea malengo mwenyewe kama kurudisha midoli ya kuchezea mahali ilipokuweo awali.

Hatua za ukuaji zinazojitokeza (nusu ya watoto wanazifikia)

  • Anaweza kurusha mpira kuelekea mbele.
  • Anaweza kupiga mpira.

Hatua za mapema kabla ya wengine (watoto wachache wanazifikia)

  • Anaweza kutengeneza sentensi fupi fupi.
  • Ataweza kushuka ngazi.