Mtandao #1 kwa Afya ya Mama na Mtoto

Address:

P. O. Box 38995, Dar es Salaam, Tanzania

Hatua za Ukuaji: Mtoto wa Mwaka 1 na Mwezi 1

Hatua mwanao alizofuzu (watoto wengi wanazifikia):

  • Wanatumia maneno mawili vizuri kama “mambo”
  • Anaweza kuinama na kuokota kitu
  • Anasimama mwenyewe

Hatua za ukuaji zinazojitokeza (nusu ya watoto wanazifikia):

  • Mtoto kujiangalia kwenye kioo
  • Anakunywa maji au maziwa kwa kutumia kikombe chake, bila msaada.
  • Anacheza mchezo wa kujificha.

Hatua za mapema kabla ya wengine (watoto wachache wanazifikia):

  • Kuunganisha maneno na ishara pale anapohitaji kitu
  • Atajitahidi kunyanyua vitu vizito
  • Kuviringisha mpira