Michezo ya Kusaidia Ukuaji wa Mtoto wa Miezi 10
Mtoto atapendelea kupanda baadhi ya vitu, mtengenezee vyanzo vitakavyomsaidia kufanikisha zoezi hilo.
Kupanda kwenye makochi
Hii ni njia rahisi na salama kumuimarisha mtoto wako katika kupanda. Tengeneza kusheni za umbo tofauti tofauti katika sakafu zitakazomuwezesha mtoto kupanda juu na chini kwa urahisi