Mtandao #1 kwa Afya ya Mama na Mtoto

Address:

P. O. Box 38995, Dar es Salaam, Tanzania

Tafuta Jina

# A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
There are currently 80 names in this directory beginning with the letter A.
Aaban
Jina la Malaika
Aabid
Anaye abudu
aadil
mwadilifu
Aalim
Msomi wa dini
aamir
aliyestaarabika
Aarif
Aariz
Mwanaume anayeheshimika
Aaryan
mwenye nguvu kubwa sana
Aashif
jasiri na shujaa
Aashir
kuishi
Aasif
waziri anayeweza
Aasim
mtu anayeepuka dhambi
Aatif
mwenye mapenzi ya dhati
Aayan
zawadi ya Mungu
abbas
mwenye sura ya huzuni/majonzi
abdul aziz
kijakazi wa mtu mwenye uwezo
abdul hafiz
abdul hakeem
mwenye hekima
Abdul hakim
kijakazi wa mtu mwenye hekima
abdul kareem
kijakazi wa mtu mzuri na mkarimu
abdul karim
fadhili
abdul lateef
kijakazi wa mtu mwenye akili/mwerevu
abdul maajid
ubora
abdul maalik
Mungu
abdul raheem
mwenye huruma
Abdul wakil
mtumwa wa mtu mwaminifu
abdullah
mtumishi wa Allah
abyan
ada
mtoto wa kwanza wa kike, mwenye mafanikio na furaha
adam
adan
adana
mtoto wa baba
ade
kifalme
adel
muamuzi anaye heshimika
adela
mwenye ucheshi mzuri
Adil
mkweli
adnan
adyan
Afham
kupenda
ahad
ahmad
anayependwa zaidi
ahsan
bora zaidi ya wote
aidan
mwenye akili
aijaz
baraka
aiman
asiyeogopa
Akeem
hekima
Akram
mwenye kipaji zaidi
Ali
tukufu
alicia
alman
mwenye hekima
Almir
mtoto wa kiume wa mfalme
amaan
amai
mama
amare
aliyerithu uwezo mkubwa
ami
mtoto wa jumamosi
Amin
muumini
amina
wa kuaminiwa
Amir
Aliyestaarabika
amor
upendo
anwaar
mwanga
arfan
shukrani kwa wingi
Arham
mwenye huruma
arif
mwenye maarifa mengi
arman
mwanajeshi
arshad
ukweli
aryan
nguvu/tegemeo
asad
simba
asbat
asha
maisha,mwanamke hai
asher
mwenye maarifa mengi
ashik
mpenzi
ashim
mkarimu
ashraf
mwenye kuheshimika
aslam
amani
ayaan
zawadi ya mungu
aydin
mwanga wa mwezi
Aymaan
bahati
ayub
azad
uhuru
Azlan
simba