Tafuta Jina
There are currently 142 names in this directory beginning with the letter R.
rabiahaliyezaliwa wakati wa masika
radamesmtoto wa kiume wa mfalme
ramonamtetezi mwenye hekima
ramsesjina la mfalme wa Misri
ransommtoto wa kiume mbaya
raymondmlinzi mwenye hekima
reece/reesemwenye upendo,shahuku
reginaldmwenye ukuu,mshauri mwenye hekima
rehanamkono uliojaa matunda matamu
reubentazama mtoto wa kiume
rheta/ritaanayeongea vizuri
ricardamtawala mwenye nguvu
richmondmlinzi imara, mtetezi mwenye nguvu
rogermpiganaji wa upanga maarufu
romildamwanamke mpiganaji mwenye utukufu
ronaldmtawala mwenye nguvu
rosabel/rosabellawaridi zuri
rosalie/rosalina/rosaliawaridi
rubikito cha thamani chekundu
rubinaaliyebarikiwa na upendo
rudolfombwa mwitu maarufu
rumanamwenye hisia za mapenzi
ruminamlinzi wa watoto walio lala
rupertumaarufu wa kung'aa